Saturday 17 December 2011

KWA NINI USITUMIE HII MASHINE KUONGEZA UBORA NA FAIDA KWENYE BIASHARA YAKO?


Potato Peeler/Rumbler 



 PRODUCT FEATURES

  • 5-6 kg potatoes per process,
  • Vee belt driven for noiselss transmission,
  • 6 minute process,
  • Cast aluminium alloy with high gloss enamelled grey finish,
  • Peeling chamber has cast-in abrasive serrations - no abrasive coating required,
  • Abrasive serrations last life of machine,
  • Patented abrasive serrations give less product loss during peeling & cooking,
  • Very easy to clean,
  • Rotor plate is coated on both sides doubling its life span,
  • Fine grained abrasive for new potatoes & course grain for older ones,
  • Counter mounted. 


Kwa wale wadau wa Mahoteli, Catering , kina mama shughuri na wauza chips

Kwanini usitumie hii mashine kwenye biashara yako ili  ikurahisishie kazi, ikuongezee ubora na  faida?
Wajasiriamali wengi wa biashara ya kukaanga na  kuuza chips  hutumia muda na nguvu nyingi kutayarisha viazi. Wengi wao huamka alfajiri na mapema na wengine  usiku  kwa ajili ya kumenya na kukatakata viazi. Hata hivyo pamoja na kuamka usiku, kutokana na wingi wa wateja wanalazamika  kuwatumia vijana wadogo wadogo kuwasaidia kumenya na kukatakata viazi ili kumudu wingi wa oda za wateja.

Mtindo huu unawafanya wajasiriamali hawa kupata kipato kidogo ama faida ndogo kwani hutumia muda na nguvu nyingi kutayarisha viazi vichache ambavyo havitoshelezi mahitaji ya wingi wa wateja, hivyo wateja wengi huchoka kusubiri na kuamua kuondoka.
Pia namna hii ya utayarishaji wa viazi inaongeza gharama za uendeshaji wa biashara kwa kuwalipa hawa vijana wadogoo. Na kuwatumia hawa vijana wadogo kunasababisha ongezeko la ajira haramu kwa watoto.

Hivyo basi kwa kutumia hii Mashine:
  • Itaharakisha utayarishaji wa viazi - inamenya viazi vingi kwa muda mchache  
  • Utahudumia wateja wengi kwa wakati mmoja  na hivyo kuongeza mauzio.
  • utapunguza gharama ndogo ndogo zisizo za msingi kama kuajiri watoto,
  • Biashara yako itakua, faida na kipato chako pia kitaongezeka.
  • Chips zako zitaonekana nzuri hivyo kuvutia wateja wengi
  • Eneo la biashara yako litaonekana safi wakati wote  kwani  mashine hii haizalishi uchafu mwingi kama umenyaji wa mikono, hivyo kuvutia wateja wengi zaidi.


Tofauti na wauza chips mashine hii inaweza kumfaa Mjasiriamali yeyote, kwani unaweza kununua hii mashine na kuanzisha biashara ya kutayarisha viazi  vya chips na kusambaza kwa wakaanga chips au mahoteli mbalimbali. Mimi naona ni biashara nzuri sijui wewe? Unaweza ukaiba hili wazo na kuliboresha utakavyo.

Kazi kwako mimi Nawakilisha 

Kuuliza ni shilingi ngapi  na maelezo zaidi wasiliana kwa email: shilingishop@gmail.com

53 comments:

  1. Wakuu, vitu muhimu kama hivi muwe mnaweka bei, mbona vingine mmeweka bei na hii mnataka mpaka tuwacontakti?!!! haya, ebu ntumieni bei kwenye amoebazone@gmail.com

    ReplyDelete
  2. nitumie bei
    jajatubevigla6@gmail.com

    ReplyDelete
  3. nitumie bei
    godfreyh40@gmail.com

    ReplyDelete
  4. tuma bei hapa shakrine2@gmail.com

    ReplyDelete
  5. Nami nahitaji bei sosiime1@gmail.com

    ReplyDelete
  6. nahitaji bei nimeipenda
    majanga4@gmail.com

    ReplyDelete
  7. nahitaji bei nimeipenda
    majanga4@gmail.com

    ReplyDelete
  8. Nitumie bei jtlehhema@yahoo.com... nipo Dar

    Fast plse...!! na phone number Thnks..!!

    ReplyDelete
  9. nitumie bei mologosho@gmail.com

    ReplyDelete
  10. ntumie bei: massawebavon1@gmail.com

    ReplyDelete
  11. ntumie bei: massawebavon1@gmail.com

    ReplyDelete
  12. nitumie bei stariserq@gmail.com

    ReplyDelete
  13. nitumie bei tsaxaradanieldj2511@gmail.com

    ReplyDelete
  14. nitumie bei tsaxaradanieldj2511@gmail.com

    ReplyDelete
  15. Nitumie bei oscarblasio59@gmail.com

    ReplyDelete
  16. Nahitaji kujua bei na kufahmu mahali mlipo calybryce@gmail.com

    ReplyDelete
  17. nahitaji kufahamu bei yake, nitumie kwenye email mtegetwa@gmail.com
    na mpo wp
    mi napatikana dar

    ReplyDelete
  18. Nitumie bei shaffiimwendundu16@gmail.com

    ReplyDelete
  19. nitumie bei beatricetubuke@yahoo.com

    ReplyDelete
  20. naomba nitumieni bei katika email yang.ni
    mohamediamani@gmail.com

    ReplyDelete
  21. naomba nitumieni bei katika email yang.ni
    mohamediamani@gmail.com

    ReplyDelete
  22. Naomba unitajie bei email yangu chobaabas50@gmail.com

    ReplyDelete
  23. naomba kujua bei ya hiyo mashine nahitaji

    ReplyDelete
  24. Naomba kujua bei na mahali mnapopatikana jngarare@gmail.com

    ReplyDelete
  25. Naomba kujua bei na mahali mnapopatikana jngarare@gmail.com

    ReplyDelete
  26. Naomba kujua bei, nitumie jbuchoti6@gmail.com

    ReplyDelete
  27. Nimeipenda nitumie bei kategleoline@yahoo.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nitumie bei na mahali mnapatikana helmutnyoni@yahoo.com

      Delete
  28. bei tafadhali .na masine yakukatia viazi ??

    ibrahim.jussa@gmail.com

    ReplyDelete
  29. Nitumie bei ndugu, davmbwambo@gmail.com

    ReplyDelete
  30. Nitumie Bei ya mashine na mnapatikana wapi? Minimuuza chipsi Arusha kwa Morombo najulikana Kama Mparee chicken chips

    ReplyDelete
  31. TUMA BEI stephenkatunzi@gmail.com

    ReplyDelete
  32. Nitumie bei kwa bilalyhussein007.@gmail.com

    ReplyDelete
  33. Nitumie bei katika email hii
    shabizo87@gmail.com

    ReplyDelete
  34. Nitumie bei kwa namba 0765099780

    ReplyDelete
  35. Tanzania hatupo serious na biashara yaani... kwani kutaja bei mpaka iwe iwe siri...

    ReplyDelete
    Replies
    1. wanazingua hawa jamaaa, na ndo maana watanzania hatuendelei....
      Any way kwa faida ya wote kuna jamaa wanatengeneza local na bei ni 200,000 na inafanya kazi vizuri tuuu... check with me kwa hii namba 0628818484 naitwa Ford

      Delete
    2. wanazingua hawa jamaaa, na ndo maana watanzania hatuendelei....
      Any way kwa faida ya wote kuna jamaa wanatengeneza local na bei ni 200,000 na inafanya kazi vizuri tuuu... check with me kwa hii namba 0628818484 naitwa Ford

      Delete
  36. Bado in tuko nyuma tunawaza kitanzaniatanzania tu! Kutaja bei mpaka inbox! hatuna mda huo!

    ReplyDelete
  37. nitumie Bei kisandumartha@yahoo.com

    ReplyDelete
  38. lusekelomwai42@gmail.com Nami napenda nijue iyo Bei ya icho kifaa na upatikanaji wake hasa kwa ss watu wa mikoani husani mbeya wilaya ya kyela. Na vipi iki kifaa kinatumia umeme au?

    ReplyDelete
  39. wanazingua hawa jamaaa, na ndo maana watanzania hatuendelei....
    Any way kwa faida ya wote kuna jamaa wanatengeneza local na bei ni 200,000 na inafanya kazi vizuri tuuu... check with me kwa hii namba 0628818484 naitwa Ford

    ReplyDelete
  40. bei ya machine ya kukatia viazi na ya kuchongea chips na crips haraka 0767140322

    ReplyDelete