Saturday, 17 December 2011

KWA NINI USITUMIE HII MASHINE KUONGEZA UBORA NA FAIDA KWENYE BIASHARA YAKO?


Potato Peeler/Rumbler  PRODUCT FEATURES

 • 5-6 kg potatoes per process,
 • Vee belt driven for noiselss transmission,
 • 6 minute process,
 • Cast aluminium alloy with high gloss enamelled grey finish,
 • Peeling chamber has cast-in abrasive serrations - no abrasive coating required,
 • Abrasive serrations last life of machine,
 • Patented abrasive serrations give less product loss during peeling & cooking,
 • Very easy to clean,
 • Rotor plate is coated on both sides doubling its life span,
 • Fine grained abrasive for new potatoes & course grain for older ones,
 • Counter mounted. 


Kwa wale wadau wa Mahoteli, Catering , kina mama shughuri na wauza chips

Kwanini usitumie hii mashine kwenye biashara yako ili  ikurahisishie kazi, ikuongezee ubora na  faida?
Wajasiriamali wengi wa biashara ya kukaanga na  kuuza chips  hutumia muda na nguvu nyingi kutayarisha viazi. Wengi wao huamka alfajiri na mapema na wengine  usiku  kwa ajili ya kumenya na kukatakata viazi. Hata hivyo pamoja na kuamka usiku, kutokana na wingi wa wateja wanalazamika  kuwatumia vijana wadogo wadogo kuwasaidia kumenya na kukatakata viazi ili kumudu wingi wa oda za wateja.

Mtindo huu unawafanya wajasiriamali hawa kupata kipato kidogo ama faida ndogo kwani hutumia muda na nguvu nyingi kutayarisha viazi vichache ambavyo havitoshelezi mahitaji ya wingi wa wateja, hivyo wateja wengi huchoka kusubiri na kuamua kuondoka.
Pia namna hii ya utayarishaji wa viazi inaongeza gharama za uendeshaji wa biashara kwa kuwalipa hawa vijana wadogoo. Na kuwatumia hawa vijana wadogo kunasababisha ongezeko la ajira haramu kwa watoto.

Hivyo basi kwa kutumia hii Mashine:
 • Itaharakisha utayarishaji wa viazi - inamenya viazi vingi kwa muda mchache  
 • Utahudumia wateja wengi kwa wakati mmoja  na hivyo kuongeza mauzio.
 • utapunguza gharama ndogo ndogo zisizo za msingi kama kuajiri watoto,
 • Biashara yako itakua, faida na kipato chako pia kitaongezeka.
 • Chips zako zitaonekana nzuri hivyo kuvutia wateja wengi
 • Eneo la biashara yako litaonekana safi wakati wote  kwani  mashine hii haizalishi uchafu mwingi kama umenyaji wa mikono, hivyo kuvutia wateja wengi zaidi.


Tofauti na wauza chips mashine hii inaweza kumfaa Mjasiriamali yeyote, kwani unaweza kununua hii mashine na kuanzisha biashara ya kutayarisha viazi  vya chips na kusambaza kwa wakaanga chips au mahoteli mbalimbali. Mimi naona ni biashara nzuri sijui wewe? Unaweza ukaiba hili wazo na kuliboresha utakavyo.

Kazi kwako mimi Nawakilisha 

Kuuliza ni shilingi ngapi  na maelezo zaidi wasiliana kwa email: shilingishop@gmail.com

32 comments:

 1. Wakuu, vitu muhimu kama hivi muwe mnaweka bei, mbona vingine mmeweka bei na hii mnataka mpaka tuwacontakti?!!! haya, ebu ntumieni bei kwenye amoebazone@gmail.com

  ReplyDelete
 2. nitumie bei
  jajatubevigla6@gmail.com

  ReplyDelete
 3. nitumie bei
  godfreyh40@gmail.com

  ReplyDelete
 4. tuma bei hapa shakrine2@gmail.com

  ReplyDelete
 5. Nami nahitaji bei sosiime1@gmail.com

  ReplyDelete
 6. nahitaji bei nimeipenda
  majanga4@gmail.com

  ReplyDelete
 7. nahitaji bei nimeipenda
  majanga4@gmail.com

  ReplyDelete
 8. Nitumie bei jtlehhema@yahoo.com... nipo Dar

  Fast plse...!! na phone number Thnks..!!

  ReplyDelete
 9. nitumie bei mologosho@gmail.com

  ReplyDelete
 10. ntumie bei: massawebavon1@gmail.com

  ReplyDelete
 11. ntumie bei: massawebavon1@gmail.com

  ReplyDelete
 12. nitumie bei tsaxaradanieldj2511@gmail.com

  ReplyDelete
 13. nitumie bei tsaxaradanieldj2511@gmail.com

  ReplyDelete
 14. Nitumie bei oscarblasio59@gmail.com

  ReplyDelete
 15. Nahitaji kujua bei na kufahmu mahali mlipo calybryce@gmail.com

  ReplyDelete
 16. nahitaji kufahamu bei yake, nitumie kwenye email mtegetwa@gmail.com
  na mpo wp
  mi napatikana dar

  ReplyDelete
 17. Nitumie bei shaffiimwendundu16@gmail.com

  ReplyDelete
 18. nitumie bei beatricetubuke@yahoo.com

  ReplyDelete
 19. naomba nitumieni bei katika email yang.ni
  mohamediamani@gmail.com

  ReplyDelete
 20. naomba nitumieni bei katika email yang.ni
  mohamediamani@gmail.com

  ReplyDelete
 21. Naomba unitajie bei email yangu chobaabas50@gmail.com

  ReplyDelete
 22. naomba kujua bei ya hiyo mashine nahitaji

  ReplyDelete
 23. Naomba kujua bei na mahali mnapopatikana jngarare@gmail.com

  ReplyDelete
 24. Naomba kujua bei na mahali mnapopatikana jngarare@gmail.com

  ReplyDelete
 25. Naomba kujua bei, nitumie jbuchoti6@gmail.com

  ReplyDelete
 26. Nimeipenda nitumie bei kategleoline@yahoo.com

  ReplyDelete