Monday 12 December 2011

TRAINERS FROM THE BEST BRANDS ON HIGH - STREET LONDON

Bukta Vintage Retro 
Est.1879

Bukta Vintage Retro Trainer
Est.1878
size 9
Tsh 60,000/=
Kiatu hiki ni original kabisa  kutoka  Bukta Vintage Retro collection, Nembo  kongwe  na maarufu duniani kwa vifaa vya michezo. Lebal hii ilianzishwa mwaka 1879 nchini uingereza katika jiji la Manchester (Jiji linalotisha kwa viwango vya mpira Uingereza), George Best na Diego Maradonna ni miongoni mwa wanamichezo maarufu duniani  waliowahi kuvaa Bukta, Pia Manchester United, Arsenal na Newcastle ni baadhi  ya timu kubwa zilizowahi kutumia jezi na  vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Bukta.
Kwa ufupi ni bonge ya Nembo ya kijanja, ambayo watu kibao wanaopenda kutoka causal na wanamichezo nchini Uingereza wanaifagilia.
Bei ya hii Trainer  Uingereza ni  sawa na laki moja na usheeee za kibongo! lakini hapa tutakuuzia kwa Tsh 60,000/= tu Ikamate  sasa !
 Wasiliana nasi kwa simu: +255(0)714533802 au tu Email: shilingishop@gmail.com

Converse Weapon Trainer

Converse Weapon Red HI Mens Trainers
Size:8.5
Tsh 75,000/=
kama inavyoonekana Trainer hii ni nzuri , imara na ya kijanja 
Kwa manunuzi yoyote ama maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia simu: +255(0)714533802 au Email: shilingishop@gmail.com

No comments:

Post a Comment