Sunday, 18 December 2011

KITU CHA UMEME, NJIA MBADALA KWA WAVUTAJI WA SIGARA

Electronic Cigarettes ( E-Cigarettes)
Hii kitu inakata kabisa kiu yako ya Sigara.
Haina Tumbaku wala Tar, Carbon dioxide na Chemical kali
Haina harufu kabisa (Huwezi kunukia masigara)
Huitaji kibiriti wala lighter
Unavuta sehemu yoyote na wakati wowote, hata kwenye mikusanyiko ya watu kwani haina madhara kwa mtu wa karibuHii kitu ni poa sana kwa Waheshimiwa, wafanyabiashara , warembo na watanashati, watu wakujiamini na wanaojali na kutunza afya zao.
Unajua wakati mwingini ni aibu na sio heshima kunuka masigara mbele za watu, kwenye mikutano ya kikazi au biashara au kwenye mazungumzo yoyote na waheshimiwa wenzako, kazini au kwenye biashara.


 Dr Hilary Jones  akifafanua kuhusu E-Cigarettes

Haya kazi kwenu, kuulizia tuma email kwenda 
shilingishop@gmail.com

3 comments:

  1. mnavitu vya kisasa, endelea kutufunua macho na vitu vizuri

    ReplyDelete
  2. Aksante sana Anonymous namba moja wajulishe na wengine. Pia tutaendelea kuwaletea vitu vingine vya kisasa na bora zaidi, na kama utahitaji kitu chochote usisite kuwasiliana nasi kwa email shilingishop@gmail.com, tutakuletea mpaka ulipo. Aksante!

    ReplyDelete
  3. Hi. Nitumie bei. 0767623458

    ReplyDelete