Wednesday 14 December 2011

HIGH HEELS FROM LONDON HIGH-STREETS

Kama wanasema Almasi ni rafiki mzuri wa mwanamke basi  viatu  ni rafiki wa karibu  zaidi! 


Dark Orange with Gold Glitter Patent heels

Dark Orange with Gold Glitter Patent heels

Size available: 6 and 7

Tsh 75,000/=
Huu mchuchumio wenye rangi ya chungwa iliyoteketea, na ming’aro ya dhahabu kwa mbali utakufanya uonekane binti mtulivu anayekwenda na wakati   
Mchuchumio huu sio tu kwa ajili ya mitoko ya usiku, bali unaweza kuuvaa wakati wa interviews au kwenye mkutano wowote wa kikazi au kwenye biashara yako . Pia utaonekana Binti wa kipekee kabisa kama ukiuvaa katikati ya watu maarufu.
Utavutia sana kama  ukiutinga na Dark skinny jeans na blouse yeyote yenye mapambo ya kuvutia ama madoa madoa ya rangi ya chungwa iliyo teketea. Pia ongezea na  kicardigans au kikoti cha kuvutia bila kusahau vidani  vyako simple vya dhahabu na Satchel bag. Hapo utakuwa tayari kwa mtoko wowote


Red Round Toe Heels

Red  round toe heels

Size available: 8
Tsh 60,000
Kiatu hiki kitakufanya uonekana binti maalum na wa kipekee popote utakapo kivaa. Kama wewe ni Msomi, Mjasiliamali ama Mfanyakazi kiatu na rangi hii  si ya  kukosa kwenye kabati lako la viatu

White Patent heels




White Patent heels

Size available: 6 and 7

Tsh 60,000/=
 Usiulize ni shilingi ngapi, wahi sasa kabla havijakwisha !
Kununua na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba : +255(0)714533802 au Email: shilingishop@gmail.com
Happy Styling!

No comments:

Post a Comment