Thursday, 19 January 2012

SAVILE ROW Shirts! SAVILE ROW Shirts! SAVILE ROW Shirts!!!!!!

FORMAL CLASSIC FIT SHIRTS, FORMAL SLIM SHIRTS NA CASUAL SHIRTS ZA KIFAHARI KUTOKA SAVILE ROW CO LONDON
Pale Blue White Gingham Slim Fit Formal Shirt
Pink White Bold Check Slim Fit Formal Shirt
French Blue Poplin Formal ShirtNavy Red Stripe Stand-Collar Slim Fit Shirt Grey White Bold Reverse Stripe Classic Fit Formal Shirt
Navy Blue White Stripe Button Down Oxford Shirt 


Red End On End Formal Shirt


Lemon Yellow Poplin Slim Fit Formal Shirt with White Collar and Cuffs

Lilac Stand Collar Slim Fit Shirt


Grey Stand-Collar Soft Stripe Slim Fit Shirt White Blue Pink Stripe Slim Fit Shirt 


Red White Fine Bengal Classic Fit Formal ShirtBlue Cotton Blend Essential Classic Fit Formal Shirt
White Cotton Blend Essential Classic Fit Formal ShirtMashati  haya yote yatapatikana hapa Shilingi Shop hivi karibuni, kununua ama kutoa oda tafadhari tuma email kwenda shilingishop@gmail.com. 

7 comments:

 1. mashati mazuri.. ingekuwa vizuri kama ungekuwa unaweka bei kwa kila product unayodisplay ili mtu aone kama anaweza kuafford then ndo atoe order. pia umesema unaletewa mzigo mpaka nyumbani. kwa sisi tulio mikoani, mimi nipo (arusha). tutaletewa pia mpaka mlangoni?

  ReplyDelete
  Replies
  1. @Viola,Kwanza samahani kwa kuchelewa kukujibu. Mashati hayo yanabei tofauti ndo maana hatukuweza kudisplay bei. Kuna mashati ya Shilingi 100,000/= na 120,000/=. Hata hivyo hayo mashati yamekwisha kwenye stock zetu lakini tunafanya mpango wa kuyaagiza tena. Kuhusu jinsi ya kuwafikia wateja wetu wetu wa mikoani, huwa tunawasiliana nao kwa email ama simu kisha tunapanga jinsi ya kuwatumia. Samahani sana kwa kuchelewa kukujibu. Aksante

   Delete
 2. why hamjibu comments za wateja wenu? mpo serious kweli nyinyi? huyo mtu wa arusha kauliza swali cku nyingi sana. na sisi pia tulio mikoa ya mbali tungependa kujua namna ya kupata hizo nguo. but mmekaa kimya. what is the purpose of putting comments section anyway?

  ReplyDelete
  Replies
  1. @Anonymous, Sio kwamba hatuko serious ni Bahati mbaya tu kuchelewa kujibu hiyo comment ya Viola. Tunajitahidi sana kuwasiliana na wateja wetu, tena wakati mwingine huwa tunawapigia simu wanapo tupa number zao. Anyway upo mkoa gani ili tuangalie jinsi ya kuwasiliana? Itapendeza ukitutumia Email. Aksante

   Delete
 3. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete