tag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post3852832859671472122..comments2023-02-25T01:48:52.999-08:00Comments on Shilingi Shop: SAVILE ROW Shirts! SAVILE ROW Shirts! SAVILE ROW Shirts!!!!!!shilingishophttp://www.blogger.com/profile/11692340307449492160noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post-74462160208154367802012-02-05T01:07:59.714-08:002012-02-05T01:07:59.714-08:00KaribuKaribushilingishophttps://www.blogger.com/profile/11692340307449492160noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post-9322409911419823532012-02-05T01:00:18.960-08:002012-02-05T01:00:18.960-08:00asante kwa majibuasante kwa majibuviolanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post-71645369303688030032012-02-04T02:06:48.262-08:002012-02-04T02:06:48.262-08:00@Viola,Kwanza samahani kwa kuchelewa kukujibu. Mas...@Viola,Kwanza samahani kwa kuchelewa kukujibu. Mashati hayo yanabei tofauti ndo maana hatukuweza kudisplay bei. Kuna mashati ya Shilingi 100,000/= na 120,000/=. Hata hivyo hayo mashati yamekwisha kwenye stock zetu lakini tunafanya mpango wa kuyaagiza tena. Kuhusu jinsi ya kuwafikia wateja wetu wetu wa mikoani, huwa tunawasiliana nao kwa email ama simu kisha tunapanga jinsi ya kuwatumia. Samahani sana kwa kuchelewa kukujibu. Aksanteshilingishophttps://www.blogger.com/profile/11692340307449492160noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post-3105313540750966852012-02-04T02:06:11.993-08:002012-02-04T02:06:11.993-08:00@Anonymous, Sio kwamba hatuko serious ni Bahati mb...@Anonymous, Sio kwamba hatuko serious ni Bahati mbaya tu kuchelewa kujibu hiyo comment ya Viola. Tunajitahidi sana kuwasiliana na wateja wetu, tena wakati mwingine huwa tunawapigia simu wanapo tupa number zao. Anyway upo mkoa gani ili tuangalie jinsi ya kuwasiliana? Itapendeza ukitutumia Email. Aksanteshilingishophttps://www.blogger.com/profile/11692340307449492160noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post-15014230950226433502012-02-04T01:57:00.434-08:002012-02-04T01:57:00.434-08:00This comment has been removed by the author.shilingishophttps://www.blogger.com/profile/11692340307449492160noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post-89527222412763521192012-02-02T22:38:13.098-08:002012-02-02T22:38:13.098-08:00why hamjibu comments za wateja wenu? mpo serious k...why hamjibu comments za wateja wenu? mpo serious kweli nyinyi? huyo mtu wa arusha kauliza swali cku nyingi sana. na sisi pia tulio mikoa ya mbali tungependa kujua namna ya kupata hizo nguo. but mmekaa kimya. what is the purpose of putting comments section anyway?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320860754181902077.post-75267972775681790682012-01-31T03:44:29.994-08:002012-01-31T03:44:29.994-08:00mashati mazuri.. ingekuwa vizuri kama ungekuwa una...mashati mazuri.. ingekuwa vizuri kama ungekuwa unaweka bei kwa kila product unayodisplay ili mtu aone kama anaweza kuafford then ndo atoe order. pia umesema unaletewa mzigo mpaka nyumbani. kwa sisi tulio mikoani, mimi nipo (arusha). tutaletewa pia mpaka mlangoni?violanoreply@blogger.com