Kila mtu anajua kwamba mavazi ni zaidi ya Urembo. Hutakiwi kujiremba saana unapokua umevaa kivazi chako cha kuvutia na kupendeza, hasa kwenye hafla mashuhuri na mitoko ya jioni vigauni kama hivi haviepukiki, vitakufanya uvutie, ujisikie na kujiona kama upo juu ya Red Carpet. Nunua sasa kabla havijakwisha!!
Hiki kigauni ni kizuri sana, kinavutia kwa mitoko ya jioni Tsh 45,000/= |
Nice Strapless Mini dress This dress is perfect for a cocktail party Tsh 45,000/= |
Kwa maelezo zaidi ama kununua wasiliana nasi kwa simu namba
+255(0)714533802 au Email: shilingishop@gmail.com
Happy Styling!
Una pamba za ukweli, tutazisaka huko zilipo.
ReplyDelete