Tuesday 20 December 2011

MIKOBA! MIKOBA! MIKOBA!!!!!

JIPATIE POCHI YAKO ILIYO KWENYE TRENDY 2012 KATI YA HIZI STATEMENT BAGS. KUMBUKA POCHI HIZI NI INGIZO JIPYA TAYARI KWA MWAKA MPYA NA NI GO ANYWHERE BAG, ZITAKAMILISHA MUONEKANO WAKO POPOTE IWE KAZINI, MTOKO JIONI AU MATEMBEZI YA KAWAIDA TU . HAHIKA UTAONEKANA SMART WAKATI WOTE. KUNA RANGI ZA KILA AINA BILA KUSAHAU MNYAMA






KWA HABARI ZAIDI NA MIKOBA MINGINE INGIA HAPA
http://trendyperfumestz.blogspot.com/2011/12/2012-statement-handbags-zinauzwa-dar.html

KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUNUNUA WASILIANA NA MIRIAM AU GRACE
KUPITIA SIMU NAMBA 0782636363/ 0714545454

WANANCHI TUWE MAKINI NA BIDHAA ZILIZOPITWA NA MUDA WAKE WA WATUMIZI

BIDHAA ZILIZO EXPIRE ZAKAMATWA ZANZIBAR



Na Fatma Kassim, Maelezo Zanzibar 20/12/2011
BODI ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar imefanikiwa kukamata tani mbili za tende ambazo zimepitwa na wakati katika maghala mawili Mjini Zanzibar
Tende hiyo imegunduliwa ikiuzwa na wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) katika maeneo ya Darajani kwa bei ya shilingi Mia tano kwa Nusu kilo na kupigwa Muhuri wa bandia kuwa inamalizika muda wake wa matumizi mwaka 2012.
Ukamatwaji wa tende hiyo unatokana na Operesheni ya kukagua bidhaa katika Mabucha mbali mbali ya Nyama kulikofanywa na na Bodi hiyo leo katika maeneo mbali mbali ya Mjini Zanzibar.
Mrajis wa Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar, Dk Burhan Othman Simai amesema kuwa baada ya kuwakamata  wafanyabiashara hao waliwapeleka kituo cha polisi na kuweza kusaidia kuonesha sehemu walikoipatia tende hiyo.
Amesema Maghala yaliyogundulika ni pamoja na Ghala la Malindi linalomilikiwa na Ali Amour Mohammed na Ghala la Kwa Haji Tumbo linalomilikiwa na Mohammed Abdalla Rashid.
Kwa mujibu wa Maelezo ya Mrajis amesema Tende hiyo ambayo imekwisha muda wake wa Matumizi inatarajiwa kuangamizwa hivi karibuni ambapo gharama za uangamizaji wa bidhaa hiyo itatolewa na wamiliki wa bidhaa hiyo.
Aidha katika Operesheni hiyo BODI ya Chakula Dawa na Vipodozi imebaini kasoro mbali mbali zikiwemo zile zinazohatarisha afya ya binadamu.
Katika kupambana na hali hiyo amesema hatua mbalimbali zimechukuliwa ikiwa ni pamoja na kuyafungia baadhi ya mabucha na kuwafungulia mashataka wauzaji 36 wa nyama katika maeneo mbali mbali ya Unguja.
Dk Burhan amefahamisha kuwa hatua nyengine itakayochukuliwa ni kufanya operesheni maalum na kubwa ambayo itafanyika hivi karibuni ambayo itakagua mabucha yote, sehemu za kuuzia bidhaa za mifugo pamoja na machinjio kwa upande wa Unguja na Pemba.
Ukaguzi huo utajumuisha Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi, Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Jeshi la Polisi.

Habari hii ni kwa hisani ya 

CONTAINER SHARING FROM READING ON 30/12/2011

dear,
Customer.
As you may be aware that sharing a container reduces the cost of international shipping as you only pay for the space you need. This month we've got containers heading to Dar es Salaam Tanzania (40ft) on .Send us an email to enquire about container sharing and get your free quote:
-- 
-- 

Regards,

Operation Manager: Mndima Fue
Eastern & Southern Africa Cargo Limited (ESAC)
(Exporters & Importers )
Tel No: +44 783 369 2695, +44 0148 221 4949 (North England - HQ)
Tel No: + 44 118 954 5890, +44 787 612 6862 (South England office)
132 Victor Street, HULL, HU9 2EY- East Yorkshire
REG NO:07609023. VAT NO:113 999 585

Habari hii ni kwa hisani ya Mjegwa Blog

Sunday 18 December 2011

KITU CHA UMEME, NJIA MBADALA KWA WAVUTAJI WA SIGARA

Electronic Cigarettes ( E-Cigarettes)
Hii kitu inakata kabisa kiu yako ya Sigara.
Haina Tumbaku wala Tar, Carbon dioxide na Chemical kali
Haina harufu kabisa (Huwezi kunukia masigara)
Huitaji kibiriti wala lighter
Unavuta sehemu yoyote na wakati wowote, hata kwenye mikusanyiko ya watu kwani haina madhara kwa mtu wa karibu



Hii kitu ni poa sana kwa Waheshimiwa, wafanyabiashara , warembo na watanashati, watu wakujiamini na wanaojali na kutunza afya zao.
Unajua wakati mwingini ni aibu na sio heshima kunuka masigara mbele za watu, kwenye mikutano ya kikazi au biashara au kwenye mazungumzo yoyote na waheshimiwa wenzako, kazini au kwenye biashara.


 Dr Hilary Jones  akifafanua kuhusu E-Cigarettes

Haya kazi kwenu, kuulizia tuma email kwenda 
shilingishop@gmail.com

Saturday 17 December 2011

KWA NINI USITUMIE HII MASHINE KUONGEZA UBORA NA FAIDA KWENYE BIASHARA YAKO?


Potato Peeler/Rumbler 



 PRODUCT FEATURES

  • 5-6 kg potatoes per process,
  • Vee belt driven for noiselss transmission,
  • 6 minute process,
  • Cast aluminium alloy with high gloss enamelled grey finish,
  • Peeling chamber has cast-in abrasive serrations - no abrasive coating required,
  • Abrasive serrations last life of machine,
  • Patented abrasive serrations give less product loss during peeling & cooking,
  • Very easy to clean,
  • Rotor plate is coated on both sides doubling its life span,
  • Fine grained abrasive for new potatoes & course grain for older ones,
  • Counter mounted. 


Kwa wale wadau wa Mahoteli, Catering , kina mama shughuri na wauza chips

Kwanini usitumie hii mashine kwenye biashara yako ili  ikurahisishie kazi, ikuongezee ubora na  faida?
Wajasiriamali wengi wa biashara ya kukaanga na  kuuza chips  hutumia muda na nguvu nyingi kutayarisha viazi. Wengi wao huamka alfajiri na mapema na wengine  usiku  kwa ajili ya kumenya na kukatakata viazi. Hata hivyo pamoja na kuamka usiku, kutokana na wingi wa wateja wanalazamika  kuwatumia vijana wadogo wadogo kuwasaidia kumenya na kukatakata viazi ili kumudu wingi wa oda za wateja.

Mtindo huu unawafanya wajasiriamali hawa kupata kipato kidogo ama faida ndogo kwani hutumia muda na nguvu nyingi kutayarisha viazi vichache ambavyo havitoshelezi mahitaji ya wingi wa wateja, hivyo wateja wengi huchoka kusubiri na kuamua kuondoka.
Pia namna hii ya utayarishaji wa viazi inaongeza gharama za uendeshaji wa biashara kwa kuwalipa hawa vijana wadogoo. Na kuwatumia hawa vijana wadogo kunasababisha ongezeko la ajira haramu kwa watoto.

Hivyo basi kwa kutumia hii Mashine:
  • Itaharakisha utayarishaji wa viazi - inamenya viazi vingi kwa muda mchache  
  • Utahudumia wateja wengi kwa wakati mmoja  na hivyo kuongeza mauzio.
  • utapunguza gharama ndogo ndogo zisizo za msingi kama kuajiri watoto,
  • Biashara yako itakua, faida na kipato chako pia kitaongezeka.
  • Chips zako zitaonekana nzuri hivyo kuvutia wateja wengi
  • Eneo la biashara yako litaonekana safi wakati wote  kwani  mashine hii haizalishi uchafu mwingi kama umenyaji wa mikono, hivyo kuvutia wateja wengi zaidi.


Tofauti na wauza chips mashine hii inaweza kumfaa Mjasiriamali yeyote, kwani unaweza kununua hii mashine na kuanzisha biashara ya kutayarisha viazi  vya chips na kusambaza kwa wakaanga chips au mahoteli mbalimbali. Mimi naona ni biashara nzuri sijui wewe? Unaweza ukaiba hili wazo na kuliboresha utakavyo.

Kazi kwako mimi Nawakilisha 

Kuuliza ni shilingi ngapi  na maelezo zaidi wasiliana kwa email: shilingishop@gmail.com

Wednesday 14 December 2011

MDAU AADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA KWA KUUZA BIDHAA ZA KITANZANIA KWENYE MAGULIO YA ULAYA

Wengine wakiwa wanaadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania kwa sherehe, siasa nyingi, vigelegele, mivinyo na vinubi, mimi na mtoto wangu tulikuwa tanaadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa nchi yetu Tanzania kwa kuuza na kutangaza bidhaa za Kitanzania kwenye magulio ya wenzetu ulaya. Niliona  kuliko kwenda Pub, au kusikiliza hotuba za kusadikika ni bora kwenda kuuza bidhaa za rafiki yangu "Fundinguo"  kwenye masoko ya wenzetu kama wao wanavyouza bidhaa zao nchini mwetu. Wadau wenzangu, Kamwe Tanzania hatutaweza kuendelea kiuchumi au kijamii  kama hatutajitahidi kuzalisha bidhaa zetu wenyewe kwa ajili ya matumizi  yetu ya ndani  na pia kwa ajili ya kuuza nchi za nje. Ni muhimu pia kujenga utamaduni wa kutumia vitu vilivyozalishwa na kutengenezwa nchini mwetu  kwa jasho letu, mikono,akili, nguvu  na rasirimali zetu zilizozagaa kwenye kila kona ya nchi yetu kuliko kutegemea bidhaa kutoka china. Kwa kufanya  hivi ajira zitaongeza  kwa vijana na watu wote, kipato kitaongezeka, uchumi wetu utakua na Tanzania itaendelea.  Achana na  maneno ya siasa , hii dhana  ni  halisi  kwa maendeleo ya nchi wala haina  chegachenga  kama maneno meeeengi ya wanasiasa wanaotaka ubunge  au Uraisi ili walipize visasi kwa maadui zao, wamiliki migodi, washibishe matumbo yao, walipe madeni yanayowakabili na kadhalika.

Mdau, 
Shilingi Shop Japan.

Pichani ni Mdau wenu akipigwa na Jua kwenye  kwenye moja ya Magulio siku ya Uhuru wa Tanzania
Tukiuza Kanga Bags kutoka kwa Fundinguo  

Dogo kachoka anataka "Obento"

Tunajadiliana Tufanyeje, 
Mdau,
Shilingi Shop Japan

SUTI ZA KISASA, MISHONO YA KISASA, VITAMBAA VINAVYOKWENDA NA WAKATI KWA MWONEKANO WA KITANASHATI, KUJIAMINI NA UFAHAMU WA MITINDO YA TOWN

Grey tonic 1 button suit  from StVdio Jeff Banks

StVdeo JEFF BANK Grey Tonic Suit
Colour: Grey  Tonic
Chest - Trouser Size : 55"-44
Tsh 300,000/=
  
Peter Werth Black Slim Fit  Suit




Peter Werth Black  Slim Fit suit
Colour: Black 
Chest - Trouser Size : 36"-32R
Tsh 280,000/=

 Shiny grey Slim Fit Suit

Shiny Grey Slim Fit suit
Colour: Shiny Grey
Style: Slim fit, features single button front fastening and 4 outer jacket pockets.
Chest - Trouser Size : 42"-36L
Tsh 280,000/=
Suti zote hizi ni  original kutoka kwa wabunifu maarufu jijini London , vitambaa ni vinavyokenda na wakati mishono ni ya kisasa kabisa. 
Sio lazima uwe Ubunge ama mwanasiaasa maarufu kutinga suti kama hizi
Wasiliana nasi kwa Simu namba +255(0)714533802 au tutumie  Email kupitia shilingishop@gmail.com



HIGH HEELS FROM LONDON HIGH-STREETS

Kama wanasema Almasi ni rafiki mzuri wa mwanamke basi  viatu  ni rafiki wa karibu  zaidi! 


Dark Orange with Gold Glitter Patent heels

Dark Orange with Gold Glitter Patent heels

Size available: 6 and 7

Tsh 75,000/=
Huu mchuchumio wenye rangi ya chungwa iliyoteketea, na ming’aro ya dhahabu kwa mbali utakufanya uonekane binti mtulivu anayekwenda na wakati   
Mchuchumio huu sio tu kwa ajili ya mitoko ya usiku, bali unaweza kuuvaa wakati wa interviews au kwenye mkutano wowote wa kikazi au kwenye biashara yako . Pia utaonekana Binti wa kipekee kabisa kama ukiuvaa katikati ya watu maarufu.
Utavutia sana kama  ukiutinga na Dark skinny jeans na blouse yeyote yenye mapambo ya kuvutia ama madoa madoa ya rangi ya chungwa iliyo teketea. Pia ongezea na  kicardigans au kikoti cha kuvutia bila kusahau vidani  vyako simple vya dhahabu na Satchel bag. Hapo utakuwa tayari kwa mtoko wowote


Red Round Toe Heels

Red  round toe heels

Size available: 8
Tsh 60,000
Kiatu hiki kitakufanya uonekana binti maalum na wa kipekee popote utakapo kivaa. Kama wewe ni Msomi, Mjasiliamali ama Mfanyakazi kiatu na rangi hii  si ya  kukosa kwenye kabati lako la viatu

White Patent heels




White Patent heels

Size available: 6 and 7

Tsh 60,000/=
 Usiulize ni shilingi ngapi, wahi sasa kabla havijakwisha !
Kununua na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba : +255(0)714533802 au Email: shilingishop@gmail.com
Happy Styling!

Tuesday 13 December 2011

KAMILISHA MWONEKANO WA VAZI LAKO KWA KUTUPILIA MIKOPA MIZURI NA YA KUVUTIA

Mwanamke ni lazima aonekane kama Malaika ama Binti wa Mfalme anapokuwa kwenye party yoyote au ametoka out na ampendae. Sehemu kama hizo Kivazi kizuri cha kuvutia ni muhimu, lakini pia mkopa unaoendana na vazi lako ni muhimu sana. Hakikisha Unachagua Mkoba au Kipochi cha Nguvu  kama hivi hapa chini unapokuwa unapokwenda  kwenye party ama mtoko wowote.

Metal Trim Clutch Bags

Metal trim clutch, Red
Tsh 40,000/=

Metal trim clutch, Blue
Tsh 40,000/=
Patent Vintage Bags
Red Patent vintage bag
Tsh 40,000/=

Green Patent vintage bag
Tsh 40,000/=

Kununua na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba : +255(0)714533802 au Email: shilingishop@gmail.com

Happy Styling!

MINI DRESSES ZA NGUVU KWA AJILI YA MITOKO YA KUFUNGA NA KUFUNGUA MWAKA

Kila mtu anajua kwamba mavazi ni zaidi ya Urembo. Hutakiwi kujiremba saana unapokua umevaa kivazi chako cha kuvutia  na kupendeza, hasa kwenye hafla mashuhuri na mitoko ya jioni vigauni kama hivi haviepukiki, vitakufanya uvutie, ujisikie na kujiona kama upo juu ya Red Carpet. Nunua sasa kabla havijakwisha!!
Hiki kigauni ni kizuri sana, kinavutia kwa mitoko ya jioni
Tsh 45,000/=
Nice Strapless Mini dress
This dress is perfect for a cocktail party
Tsh 45,000/=
Kwa maelezo zaidi ama kununua wasiliana nasi kwa simu namba
+255(0)714533802 au Email: shilingishop@gmail.com

Happy Styling!

Monday 12 December 2011

TRAINERS FROM THE BEST BRANDS ON HIGH - STREET LONDON

Bukta Vintage Retro 
Est.1879

Bukta Vintage Retro Trainer
Est.1878
size 9
Tsh 60,000/=
Kiatu hiki ni original kabisa  kutoka  Bukta Vintage Retro collection, Nembo  kongwe  na maarufu duniani kwa vifaa vya michezo. Lebal hii ilianzishwa mwaka 1879 nchini uingereza katika jiji la Manchester (Jiji linalotisha kwa viwango vya mpira Uingereza), George Best na Diego Maradonna ni miongoni mwa wanamichezo maarufu duniani  waliowahi kuvaa Bukta, Pia Manchester United, Arsenal na Newcastle ni baadhi  ya timu kubwa zilizowahi kutumia jezi na  vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Bukta.
Kwa ufupi ni bonge ya Nembo ya kijanja, ambayo watu kibao wanaopenda kutoka causal na wanamichezo nchini Uingereza wanaifagilia.
Bei ya hii Trainer  Uingereza ni  sawa na laki moja na usheeee za kibongo! lakini hapa tutakuuzia kwa Tsh 60,000/= tu Ikamate  sasa !
 Wasiliana nasi kwa simu: +255(0)714533802 au tu Email: shilingishop@gmail.com

Converse Weapon Trainer

Converse Weapon Red HI Mens Trainers
Size:8.5
Tsh 75,000/=
kama inavyoonekana Trainer hii ni nzuri , imara na ya kijanja 
Kwa manunuzi yoyote ama maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia simu: +255(0)714533802 au Email: shilingishop@gmail.com